Home -> Verein

 

Saidia kwa Moyo

Foundation Kenya

Saidia kwa moyo- chama kianzilishi

Kiini sawa na jina “saidia kwa moyo” muuguzi mstaafu bi Petra Müller pamoja na mumewe Helmut kutoka Königslutter ujerumani walielekea kilifi Kenya kuanzisha shirika la kusaidia watoto.familia ya Müller wamekuwa wakisafiri kwa miaka mingi nchini kenya ndipo walipotokoe msumarini-kikambala,mwaka 2003 walipokutanana mayatima walio poteza wazazi wao kwa mkasa wa bomu wa kikamabala uliotekelezwa na wanamgambo wa kigaidi.bi Petra Müller aliamuakujihusisha yeye binafsi kujaribu kutataua matatizo ya hawa mayatima yeye pamoja na mumewe mwanzoni waliaanza kwa kuwanunulia mavazi ,chakula ,na matresi za kulalia,lakini waligundua kuwa hii haikuwa suluhihisho pekee na hawakuweza kutimiza mahitaji yote ya hawa mayatima,walikuwa mekusudia kuwasaidia zaidi.

Baada ya kurudi kutoka kenya walianzisha shirika ambalo la kusaidia saidia-kwa-moyo kinderhilfsprojekt-kenya e.V mtazamo ama nia yao kuu ilikuwa ni yakuwapa nyumba,elimu,na kuwa na mtazamo wa kimbele wa maisha .

Misaada ya saidia Kwa moyo Ina enda wapi ama Ina tumika vipi

Wakati jamii ya Muller ilipo rudi Kenya tena mwaka wa 2004 walikodisha nyumba kilifi kilo mita 50 kutoka kaskazini mwa  jiji la Mombasa,nyumba hiyo waliifanyia marekebisho na waka weka vitandana fanicha waliotengeneza  na mapeni yao wenyewe,wakatengeneza jiko na mahali pa maamkuli nje ya nyumba hiyo pamoja na jiko  iliyokuwa na benchi na meza ndani.

Hii ndiyo ilikuwa kitangulizi chao cha kwanza

 Kwa sasa mengi yamefanyika

 

                         §   Watoto 25 sasa wanamakazi sasa

                         §  Watoto waliohitimu miaka ya kwenda shule wote wako shule

      §   Watoto wote wanapata huduma za afya mara Kwa mara

      §   Wafanyi kazi 6 waliohitimu wanawatunza watoto

      §   Na shirika hili pia lime weza kuanzisha miradi ya kupata pesa za kuwezeshakujenga ujenzi mpya Na chuo cha mafunzo ya ziada

Saidia Kwa moyo-jinsi ya kusaidia

 

Kuwa mfadhili wa mtoto

Una weza kuchangia mara Kwa mara Kwa kufadhili mtoto mmoja Kwa njia ya ki afya na elimu

Ufadhili moja Kwa moja

Tuna karibisha ufadhili wa namna yoyote

Uwanachama

Ukiwa mwana chama inamaanisha kuwa ina wafadhili watoto wote kilifi

Mwanachama –tunu

Sikuwa tu utakuwa ukifadhili kwa kutoa machango kila mwezi lakini utaweza kuwa na uhusiano wa kijamii ama rafiki  

Urithi

Yeyote anatakakutimiza ndoto ya kusaidia hata baada ya kifo ana weza kufanya hivyo kwa kuandika katika karatasi yake ya urithi.

Kila mchango unawafaidia watoto kwa 100%

 

Mipango ya usoni ya saidia kwa moyo

Ploti ya hekari moja imenunuliwa, Na zaidi ya kujenga nyumba mpya ya watoto, vyuo vya kiufundi vitaanzishwa

        §                     Kwa mfano,

        §                     Useremala

        §                     Fundi cherehani

        §                     Na mafunzo ya kisasa ya kiteknolojia, Na kadhalika

 Msaada wa kujitegemea

Kwa sababu ya barabara kuu ya kwenda ufuoni mwa bahari ama hoteli kubwa za kilifi ina pita mbele ya mad huu, bi Petra na Helmut Muller wataanzisha mradi wa duka kubwa la reja reja ambalo vyote vitakavyo use ndani yake vitawafaa wa kaazi wa kilifi pamoja na watalii wanaozuru eneyo la kilifi.kwa kufanya hivyo, bi Muller anaona kuwa ataweza kuwafanya watoto hawa waweze kujitegemea usoni na ndoto yake ya kusaidia kwa moyo itakuwa imekamilika pamoja na misaada ya watu wote kwa jumla

Saidia-kwa Moyo

Bibimalakaika’s Kinderhilfsprojekt Kenya e.V.

 

Kimesajiliwa katika district court helmsted chini ya VR 864

 Kimesajiliwa tena na shirika lisilo la serikali Kenya yaani N.G.O op 218/051/2007/067/4556

Mwanzilishi na mwenye kiti mkuu

Helmut, Petra Mueller
Am Rischbleek 54
38154 Koenigslutter
e-mail: saidiakwamoyo1@yahoo.de

 

Organisation and Public Relations:

Horst Brueck
 

Donation Account:

Germany:

Saidia kwa Moyo e.V.
Bank: Nord/LB
Konto: 70 37 37 7
BLZ: 250 500 00
BIC: NOLADE2HXXX
IBAN: DE63 2505 0000 0007 0373 77
 

Kenya:

Saidia kwa Moyo Foundation
Bank: IMPERIAL
Account: 7900001296
Swift: IMPLKENAXXX
 

01

Lucas Katana Karissa

geb. 30.05.2003

02

Tina Kadenge

geb. 14.07.1996

03

Brian (Seph) Kadenge

geb. 16.04.1998

04

Fadhili (Detlef) Bidii

geb. 31.10.1993

05

Bahati Bidii

geb. 07.02.1996

06

Wilbert (Rudi) Sosi

geb. 17.01.1997

07

Mary (Petra) Sosi

geb. 18.06.2000

08

Esther Mwafungo

geb. 13.08.1998

09

Fridah Kenga

geb. 05.09.1997

10

Sanita Kalume

geb. 10.11.1995

11

Queeni Hawekatsanga

geb. 15.05.1999

12

James Karissa

geb. 20.11.1998

13

Kevin Chelagat

geb. 11.12.2000

14

Jimmy Nyamawi

geb. 25.03.2001

15

Tina Nyamawi

geb. 23.06.1998

16

Leon (Max) Achieng

geb. 19.03.2005

17

Baraka (Paul) Katzungu

geb. 06.10.2004

18

Mariam (Angeline) Bidii

geb. 04.07.2001

19

Amani Kai (Carlo) Luembe

geb. 10.11.2002

20

Edward (Hans) Silaha

geb.:27.10.2001

21

Rose Masola

geb. 01.07.2002

22

Daniel Mutiso

geb. 08.03.2000

23

Florian Kalume

geb. 09.04.2008

24

Susan Saida Kazungu

geb. 23.04.1999

25

Robin Rajab Kazungu

geb. 08.01.2005

--->  Membership

--->  Godparenthood for a child

 

 

 

Vereinsinformationen

 

  unser Verein

  Mitgliedschaft

  Patenschaft

 

 

Aktuelle Informationen vom

Waisenhaus im Karibuni - Forum

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

© 2006 Saidia kwa Moyo Bibimalaika’s Kinderhilfsprojekt Kenya e.V.

Design by Planet4web.de